Nenda kwa yaliyomo

Mashonaland ya Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mashonaland ya Kati ni mkoa wa Zimbabwe upande wa kaskazini mashariki wa nchi.

Una eneo la kilometa mraba 28,347 na wakazi 1,385,000 (202)[1].

Makao makuu yako Bindura.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mashonaland ya Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.