Mikoa ya Zimbabwe
Mandhari
Mikoa ya Zimbabwe imepatikana kwa kuigawa nchi hiyo katika mikoa 8 na miji 2 yenye hadhi ya mikoa. Imegawiwa zaidi katika wilaya 59 na kata 1,200.
Mikoa ya Zimbabwe ni:
- Bulawayo (mji),
- Harare (mji),
- Manicaland,
- Mashonaland ya Kati,
- Mashonaland Mashariki,
- Mashonaland Magharibi,
- Masvingo,
- Matabeleland Kaskazini,
- Matabeleland Kusini na
- Midlands.
Miji minne mikubwa ya Zimbabwe ni:
- Bulawayo, mji wa pili kwa ukubwa
- Harare, mji mkuu
- Chitungwiza
- Mutare
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mikoa ya Zimbabwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |