Nenda kwa yaliyomo

Midlands, Zimbabwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Midlands, Zimbabwe ni mkoa wa Zimbabwe ulioko katikati ya nchi.

Una eneo la kilometa mraba 49,166 na wakazi 1,812,000 (2022[1]).

Makao makuu yako Gweru.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Midlands, Zimbabwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.