Matabeleland Kusini
Mandhari
Matabeleland Kusini ni mkoa wa Zimbabwe upande wa kusini wa Bulawayo.
Una eneo la kilometa mraba 54,172 na wakazi 760,000 (2022)[1].
Makao makuu yako Gwanda.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Matabeleland Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |