Wasabato

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wasabato ni Wakristo wanaomuabudu Mungu hasa siku ya Sabato, tofauti na walio wengi (99%) wanaoadhimisha Jumapili kama siku ya ufufuko wa Yesu.

Kati ya madhehebu ya namna hiyo, maarufu zaidi ni Waadventista Wasabato ambao wamefikia kuwa milioni 17 duniani kote.

Christianity Symbol.png Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wasabato kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.