Yesu kuzaliwa na Bikira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Maria "Kupashwa Habari" kadiri ya Guido Reni, 1621.
Mfululizo wa kurasa juu ya Yesu
Jesus
Yesu Kristo na Ukristo

Utoto wa Yesu  • Utume wa Yesu • Mifano ya Yesu  • Miujiza ya Yesu
Msalaba wa Yesu  • Kifo cha Yesu  • Ufufuko wa Yesu
Kupaa mbinguni  • Ujio wa pili
Injili  • Majina ya Yesu katika Agano Jipya  • Yesu kadiri ya historia  • Tarehe za maisha ya Yesu • Kristolojia

Mazingira ya Yesu

Wayahudi • Kiaramu • Bikira Maria • Ukoo wa Yesu • Yosefu (mume wa Maria) • Yohane Mbatizaji

Mitazamo juu ya Yesu

Mitazamo katika Agano Jipya Mitazamo ya Kikristo • Mitazamo ya Kiyahudi • Mitazamo ya Kiislamu • Yesu katika sanaa

Yesu kuzaliwa na Bikira ni fundisho la imani linalosema kuwa Yesu Kristo alitungwa tumboni mwa mama yake, Bikira Maria, kwa uwezo wa Mungu (Roho Mtakatifu) tu, na kuwa Maria alipomzaa alikuwa bado bikira.

Katika Biblia ya Kikristo fundisho hilo linapatikana katika Injili mbili zilizo tofauti hata kwa vyanzo katika uzazi na utoto wa Yesu: Math 1:18-25 na Lk 1:26-38.

Mathayo anathibitisha hilo kwa kutaja utabiri wa maneno ya Isa 7:14 katika tafsiri ya Kigiriki ya Septuaginta: "Tazama bikira atachukua mimba, naye atazaa mwana, nao watamwita jina lake Emmanuel, yaani Mungu pamoja nasi".[1] [2]

Fundisho hilo linashikiliwa na madhehebu karibu yote ya Ukristo, hasa Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki.

Hata Waislamu wanakubali fundisho hilo kutokana na Kurani, hasa sura 3 (Al Imran) na 19 (Maryam (sura)).[3]

Tofauti na mafundisho mengine[hariri | hariri chanzo]

Mara nyingine fundisho hilo linachanganywa na mengine tofauti,[4] kama vile utakatifu usio na doa wa Maria[5][6]na ubikira wa kudumu aliokuwa nao maisha yake yote[7]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Brown, Raymond E.; Achtemeier, Paul J. (1978). Mary in the New Testament: A Collaborative Assessment by Protestant and Roman Catholic Scholars. Paulist Press. p. 92. ISBN 0-8091-2168-9.
  2. Diarmaid MacCulloch, A History of Christianity, 2009 (Penguin 2010, p. 81). ISBN 978-0-14-102189-8
  3. Sarker, Abraham.Understand My Muslim People. 2004 ISBN 1-59498-002-0 page 260
  4. O'Brien, Catherine (2012). The Celluloid Madonna. Columbia University Press. ISBN 978-0-23150181-1. Retrieved on 22 July 2013. 
  5. McKnight, Scot (2004). The Jesus Creed. Paraclete Press, 301. ISBN 978-1-55725400-9. Retrieved on 22 July 2013. 
  6. Harrington, S.J.J. (2010). Historical Dictionary of Jesus. Scarecrow Press, 167. ISBN 978-0-81087668-2. Retrieved on 22 July 2013. 
  7. (1978) Mary in the New Testament. Paulist Press, 273. ISBN 9780809121687. 

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Marejeo mengine[hariri | hariri chanzo]

  • Gromacki, Robert G. The Virgin Birth: Doctrine of Deity. Grand Rapids, Mich.: Baker Book House, 1981, cop. 1974. 202 p. ISBN 0-89010-3765-4
ChristianitySymbol.PNG Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yesu kuzaliwa na Bikira kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.