Ukoo wa Yesu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kioo chenye umbo la waridi katika Basilika la Mtakatifu Denis, Ufaransa, ambacho kinaonyesha vizazi vya ukoo wa Yesu kuanzia Yese.
Kuba (jengo) ya kusini katika kanisa la Chora, Istanbul, inayoonyesha vizazi vya Yesu kuanzia Adamu.
Mfululizo wa kurasa juu ya Yesu
Jesus
Yesu Kristo na Ukristo

Utoto wa Yesu  • Utume wa Yesu • Mifano ya Yesu  • Miujiza ya Yesu
Msalaba wa Yesu  • Kifo cha Yesu  • Ufufuko wa Yesu
Kupaa mbinguni  • Ujio wa pili
Injili  • Majina ya Yesu katika Agano Jipya  • Yesu kadiri ya historia  • Tarehe za maisha ya Yesu • Kristolojia

Mazingira ya Yesu

Wayahudi • Kiaramu • Bikira Maria • Ukoo wa Yesu • Yosefu (mume wa Maria) • Yohane Mbatizaji

Mitazamo juu ya Yesu

Mitazamo katika Agano Jipya Mitazamo ya Kikristo • Mitazamo ya Kiyahudi • Mitazamo ya Kiislamu • Yesu katika sanaa

Ukoo wa Yesu unapatikana katika vitabu viwili vya Agano Jipya: Injili ya Mathayo ambayo inaorodhesha vizazi kuanzia Abrahamu hadi kwa Yosefu (mume wa Maria), na Injili ya Luka inayorudi nyuma hadi kwa Adamu, aliyeumbwa na Mungu mwenyewe.

Injili hizo zote mbili zinasisitiza kwamba Yosefu si mzazi wa Yesu, kwa kuwa Bikira Maria alipata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.

Pia zinasisitiza kwamba Yesu ni Mwana wa Daudi, yaani kinasaba anatokana na mfalme huyo maarufu wa Agano la Kale, na hivyo ana haki ya kurithi cheo chake.

Hata hivyo majina mengi ni tofauti katika orodha hizo mbili, hivyo wataalamu wanatoa maelezo mbalimbali kuhusiana na desturi za Israeli wakati ule, na kutokana na malengo ya Wainjili hao. [1][2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Marcus J. Borg, John Dominic Crossan, The First Christmas (HarperCollins, 2009) page 95.
  2. R. T. France, The Gospel According to Matthew: An Introduction and Commentary (Eerdmans, 1985) page 71.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Bible.malmesbury.arp.jpg Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukoo wa Yesu kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.