Burundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Republika y'u Burundi
République du Burundi

Jamhuri ya Burundi
Bendera ya Burundi Nembo ya Burundi
Bendera Nembo
Wito la taifa: Unité, Travail, Progrès
(Kifaransa: Umoja, Kazi, Maendeleo)
Wimbo wa taifa: Burundi bwacu
Lokeshen ya Burundi
Mji mkuu Bujumbura
3°30′ S 30°00′ E
Mji mkubwa nchini Bujumbura
Lugha rasmi Kirundi, Kifaransa Kiswahili
Serikali Jamhuri
Pierre Nkurunziza
Uhuru
 - Tarehe
kutoka Ubelgiji
1 Julai 1962
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
27,830 km² (142nd)
7.8%
Idadi ya watu
 - 2003 kadirio
 - 1978 sensa
 - Msongamano wa watu
 
6,054,714 (99th)
3,589,434
206.1/km² (52)
Fedha Burundi franc (FBu) (BIF)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CAT (UTC+2)
- (UTC+2)
Intaneti TLD .bi
Kodi ya simu +257

-


Map of Burundi
Satellite image of Burundi
NASA photo of Burundi

Jamhuri ya Burundi (iliyojulikana zamani kama Urundi) ni nchi ndogo ambayo iko karibu na Eneo la Maziwa Kubwa ya Afrika. Burundi imepakana na Rwanda upande wa kaskazini, Tanzania upande wa mashariki, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa magharibi. Ingawa Burundi haina bahari sehemu ya mpaka wake eneo la mashariki uko karibu na Ziwa Tanganyika. Jina lenyewe la nchi hii, limetokana kwa msingi na kutanuka kwa lugha ya Kirundi ambacho ni lugha ya Kibantu.

Burundi ni nchi ndogo iliyomo barani Afrika. Mara kadhaa nchi hii imekuwa na misukosuko na machafuko ya kisiasa na kijamii. Shida kubwa ni kuwa Burundi haina maliasili kutosheleza umma na kutosheleza ratili ya kisiasa kwa walio wengi Wahutu na walio wachache Watutsi na [[Watwa] na pia kuna kabila la warundi wanaojinasibu kuwa wao siyo watusi wala wahutu bali ni waswahili, Na hilo kabila la waswahili lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na wao ndo wenyeji wa jiji la Bujumbura, walimsaidia Mwanamfalme Louis Rwagasore katika harakati za kutafuta uhuru wa Burundi.

Kwa orodha ya Marais wa nchi tangu uhuru, angalia hapa.

Watu na Utamaduni[hariri | hariri chanzo]

Utafiti[hariri | hariri chanzo]

Mambo mengi ya Burundi yamepatikana kutoka CIA World Factbook 2000 na 2003 U.S. Department of State website.

Kichunguzi[hariri | hariri chanzo]

Ongezea masomo kwa wingi[hariri | hariri chanzo]

  • Burundi: Ethnic Conflict and Genocide Reni Lemarchand and Lee H. Hamilton

Mishikanizi[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Serikali[hariri | hariri chanzo]

Habari[hariri | hariri chanzo]

Overviews[hariri | hariri chanzo]

Maendelezo[hariri | hariri chanzo]

Other[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia