Mto Ruvyironza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mto Ruvyironza una mwendo wa km 110 na ni tawimto wa mto Ruvuvu ambao tena ni tawimto wa Mto Kagera[1].

Kwa kuwa mto huo unaishia nchini Tanzania katika Ziwa Viktoria ambalo linatokwa na mto Naili, baadhi ya watalamu wanahesabu urefu wa Naili kuanzia chanzo cha mto Ruvyironza nchini Burundi[2][3].

Jina linatokana na Mlima Luvironza, mkubwa kuliko yote ya Burundi ambapo mto una chanzo chake. Mlima Luvironza una kimo cha m 2,700 juu ya UB uko kilomita 45 upande wa mashariki wa Ziwa Tanganyika.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Majiranukta kwenye ramani: 3°55′00″S 29°50′00″E / 3.9167°S 29.8333°E / -3.9167; 29.8333

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Ruvyironza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.