Nenda kwa yaliyomo

Mito mirefu ya Afrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mito mirefu ya Afrika inaonyeshwa katika orodha ifuatayo.

Mara nyingi mto wa Nile unahesabiwa kuwa mtu mrefu kuliko yote ya Afrika tena duniani. Kadirio la urefu wa mto hutegemea jinsi ya kuhesabu matawimto yake. Orodha inayofuata ina tofauti na orodha inayokadiria kwa namna nyingine.

Urefu
(km)
Jina Mdomo Beseni
(km²)
Kiasi cha maji kinachotolewa
(m³/s)
6.671Nile pamoja na KageraMediteranea3.071.3062.832
4.835Kongo + Luvua pamoja na Luapula na ChambeshiAtlantiki3.692.06239.160
4.374KongoAtlantiki3.692.06239.160
4.184NigerAtlantiki2.112.7749.570
2.574ZambeziBahari ya Hindi1.384.9997.070
2.272Ubangi pamoja na UeleKongo613.2027.000
2.160OranjeAtlantiki941.421800
2.153KasaiKongo925.17210.000
1.820ShebeliJuba336.627-
1.819Volta pamoja na Volta nyeusiAtlantiki414.2431.290
1.800Okavangoinaishia katika delta ya barani ya Okavango721.2580
1.740Chari pamoja na OuhamZiwa la Chad669.706-
1.680LimpopoBahari ya Hindi414.524800
1.658JubaBahari ya Hindi803.212550
1.500CuandoZambezi--
1.450Lomami (mto)Kongo110.0001.700
1.430Senegal pamoja na BafingAtlantiki435.9811.500
1.416BenueNiger327.000-
1.400Luvua pamoja na Luapula na ChambeshiKongo--
1.350Nile ya buluu (=Abay)Nile326.400-
1.288Shire pamoja na SongweZambezi--
1.287AruwimiKongo116.000-
1.251VaalOranje189.000-
1.160KomoéAtlantiki79.087-
1.150SankuruKasai--
1.140Volta nyeupeVolta--
1.130UeleUbangi--
1.127GambiaAtlantiki69.9312.000
1.120AtbaraNile100.000-
1.100KwangoKasai263.5002.700
1.100Sangha pamoja na MambereKongo180.418-
1.100Wadi Draa (mto wa muda)Atlantiki114.569-
1.094OgoouéAtlantiki221.968-
1.083RuvumaBahari ya Hindi165.760-
1.060Lukenie pamoja na FimiKasai--
1.050Bani pamoja na BaouléNiger--
1.020Kunene 975 km?Atlantiki110.024-
1.000Kwilu 960 km?Kwango--
1.000Molopo (mto wa muda)Oranje (mto)--