Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya nchi za Afrika kwa Pato la Taifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nchi za Afrika kulingana na Pato la Taifa 2024

Pato la Taifa (kwa Kiingereza: Gross domestic product, GDP) ni thamani ya sokoni ya bidhaa na huduma zote za nchi fulani katika mwaka. Hii ni Orodha ya nchi za Afrika kwa pato la taifa kadirio la 2025, chapisho la IMF. [1][2][3][4][5][6]

Nchi za Afrika kulingana na Pato La Taifa (2025)
Orodha Nchi Pato la Taifa (USD bilioni)
1 Afrika Kusini 410.34
2 Misri 347.34
3 Aljeria 268.89
4 Nijeria 188.27
5 Moroko 165.84
6 Kenya 131.67
7 Uhabeshi 117.46
8 Angola 113.34
9 Kodivaa 94.48
10 Ghana 88.33
11 Tanzania 85.98
12 Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia 79.12
13 Uganda 64.28
14 Tunisia 56.29
15 Kameruni 56.01
16 Libya 47.48
17 Zimbabwe 38.17
18 Senegal 34.73
19 Sudan 31.51
20 Guinea 30.09
21 Zambia 28.91
22 Burkina Faso 27.06
23 Msumbiji 23.77
24 Mali 23.21
25 Benin 22.24
26 Niger 21.87
27 Gabon 20.39
28 Botswana 19.40
29 Chad 18.79
30 Madagaska 18.71
31 Mauritius 15.50
32 Kongo, Jamhuri ya 15.28
33 Rwanda 14.77
34 Namibia 14.21
35 Malawi 13.96
36 Somalia 12.99
37 Guinea ya Ikweta 12.68
38 Mauritania 11.47
39 Togo 10.02
40 Sierra Leone 8.39
41 Burundi 6.75
42 Eswatini 5.48
43 Liberia 5.17
44 Jibuti 4.59
45 Sudan Kusini 4.00
46 Afrika ya Kati 2.93
47 Cape Verde 2.79
48 Gambia 2.77
49 Lesotho 2.40
50 Guinea-Bissau 2.27
51 Shelisheli 2.20
52 Komori 1.55
53 Sao Tome na Principe 0.86
54 Eritrea 0.00

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Moffatt, Mike. "A Beginner's Guide to Purchasing Power Parity Theory". economics.about.com. IAC/InterActiveCorp. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-03-01. Iliwekwa mnamo 31 Mei 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Ito, Takatoshi; na wenz. (Januari 1999). "Economic Growth and Real Exchange Rate: An Overview of the Balassa-Samuelson Hypothesis in Asia" (PDF). Changes in Exchange Rates in Rapidly Development Countries: Theory, Practice, and Policy Issues. National Bureau of Economic Research. Iliwekwa mnamo 1 Juni 2014. {{cite web}}: Explicit use of et al. in: |author= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "What is GDP and why is it so important?". www.investopedia.com. IAC/InterActiveCorp. 26 Februari 2009. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "GDP rankings in Africa". visafrican. visafrican.com. 23 Julai 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-05-21. Iliwekwa mnamo 23 Julai 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Callen, Tim (28 Machi 2012). "Purchasing Power Parity: Weights Matter". Finance & Development. International Monetary Fund. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Callen, Tim (28 Machi 2012). "Gross Domestic Product: An Economy's All". Finance & Development. International Monetary Fund. Iliwekwa mnamo 31 Mei 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)