Lugha za Afrika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kundi za lugha katika Afrika

Lugha za Afrika ni zaidi ya 2000.

Baadhi ya lugha hizi zina wasemaji mamilioni kama vile Kiswahili, Kihausa, Kiigbo, au Kiyoruba. Lugha nyingine zina wasemaji wachache sana hata zinaelekea kupotea.

Vikundi vya lugha

Vikundi vikubwa vya lugha za Kiafrika ni hasa:

Kuna pia maeneo penye wasemaji wa lugha zenye asili nje ya Afrika kama vile:

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Afrika kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.