Lugha za Kiniger-Kongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha za Kiniger-Kongo ni familia ya lugha barani Afrika. Katika familia hiyo kuna lugha takriban 1400 zenye wasemaji milioni 370 katika Afrika Magharibi, mashariki na kusini.

Kundi kubwa hasa ndani ya familia hiyo ni lugha za Kibantu kama Kiswahili.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiniger-Kongo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.