Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika
Mandhari
(Elekezwa kutoka Urithi wa Dunia barani Afrika)
Makala hii inaorodhesha vituo 150 vilivyotajwa na UNESCO kuwa mahali pa Urithi wa Dunia katika Afrika (nchi 37 tu).
Mahali
[hariri | hariri chanzo]Legend mwaka - Aina ya mahali - jina la mahali
- mwaka: wakati ambao mahali paliwekwa katika Orodha ya Urithi wa Dunia
- aina ya mahali: sifa ya mahali kama ni uasilia , utamaduni au mchanganyiko
- jina la mahali: ni jina palilopewa mahali
Afrika Kusini
[hariri | hariri chanzo]- 1999 - Utamaduni - Kitovu cha mwanadamu.
- 1999 - Utamaduni - Robben Island.
- 1999 - Asili - ISimangaliso Wetland Park.
- 2003 - Utamaduni - SMapungubwe.
- 2004 - Asili - Cape maarufu kwa maua.
- 2005 - Asili - Vredefort Dome.
- 2007 - Utamaduni - Richtersveld.
- 2017 - Utamaduni - Mazingira ya Wakhomani.
- 2018 - Asili - Milima ya Barberton Makhonjwa.
-
Kitovu cha mwanadamu
-
Robben Island
-
ISimangaliso Wetland Park
-
Mapungubwe
-
Cape maarufu kwa maua
-
Vredefort Dome.
-
Richtersveld
Algeria
[hariri | hariri chanzo]- 1992 - Utamaduni - Kasbah ya Aljeri.
- 1982 - Asili - Timgad.
- 1982 - Utamaduni - M'Zab.
- 1986 - Mchanganyiko - Tassili n'Ajjer.
- 1980 - Utamaduni - Ngome ya Beni Hammad.
- 1982 - Utamaduni - Djemila.
- 1982 - Utamaduni - Tipasa.
-
Kasbah ya Aljeri
-
Timgad
-
Vallée du M'Zab
-
Tassili n'Ajjer
-
Kituo cha kiakiolojia cha Kalâa
-
Djemila
Angola
[hariri | hariri chanzo]- 2017 - Utamaduni - Mbanza Kongo.
Benin
[hariri | hariri chanzo]-
Makumbusho ya Historia ya Abomey
Benin*, Burkina Faso*, Niger*
[hariri | hariri chanzo]- 2017 - Asili - Hifadhi za Taifa za (W, Arly na) Pendjari.
Botswana
[hariri | hariri chanzo]-
Delta ya Okavango
-
Mahali pa akiolojia pa Tsodilo
Burkina Faso
[hariri | hariri chanzo]-
Magofu ya Loropéni
Cameroon
[hariri | hariri chanzo]- 1987 - Asili - Hifadhi ya Wanyama ya Dja.
-
Mto Dja na mitumbwi
Cameroon*, Jamhuri ya Afrika ya Kati*, Jamhuri ya Kongo*
[hariri | hariri chanzo]- 2012 - Asili - Misitu ya Nchi Tatu ya Sangha.
-
Misitu ya Nchi Tatu ya Sangha
Cape Verde
[hariri | hariri chanzo]- 2009 - Utamaduni - Mji wa Kale.
-
Mji wa Kale
Chad
[hariri | hariri chanzo]- 2012 - Asili - Maziwa Ounianga.
- 1986 - Mchanganyiko - Milima ya Ennedi.
-
Maziwa Ounianga.
-
Milima ya Ennedi
Côte d'Ivoire
[hariri | hariri chanzo]- 1982 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Taï.
- 2012 - Utamaduni - Grand-Bassam.
- 1983 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Comoé In danger †.
-
Hifadhi ya Taifa ya Taï.
-
Grand-Bassam
-
Hifadhi ya Taifa ya Comoé
Côte d'Ivoire*, Guinea*
[hariri | hariri chanzo]- 1981 - Asili - Mount Nimba Strict Nature Reserve †.
-
Mount Nimba Strict Nature Reserve
Eritrea
[hariri | hariri chanzo]Ethiopia
[hariri | hariri chanzo]- 1980 - Utamaduni - Bonde la Awash.
- 1978 - Utamaduni - Makanisa yaliyochongwa mwambani, Lalibela.
- 1979 - Utamaduni - Fasil Ghebbi.
- 1978 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Semien †
- 2006 - Utamaduni - Harar Jugol.
- 1980 - Utamaduni - Bonde la Omo.
- 2011 - Utamaduni - Mazingira ya Utamaduni Konso.
- 1980 - Utamaduni - Tiya.
- 1980 - Utamaduni - Aksum.
-
Kanisa la Mt. Joji, Lalibela
-
Palace Fasilides
-
Milima Simien
-
Ngome ya mji wa Harar
-
Waga
-
Mandhari ya Tiya
-
Aksum
Gabon
[hariri | hariri chanzo]- 2007 - Mchanganyiko - Hifadhi ya Taifa ya Lopé
-
Hifadhi ya Taifa ya Lopé
Gambia
[hariri | hariri chanzo]- 2003 - Utamaduni - Kisiwa Kunta Kinteh
-
Baali Gambia
Gambia*, Senegal*
[hariri | hariri chanzo]- 2006 - Utamaduni - Stone Circles Senegambia
-
Senegambia
Ghana
[hariri | hariri chanzo]-
Ngome
-
Ramani ya kituo cha Ashanti
Hispania [note 1]
[hariri | hariri chanzo]- 1986 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Garajonay
- 2007 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Teide
- 1999 - Utamaduni - San Cristóbal de La Laguna
-
Hifadhi ya Taifa ya Garajonay
-
Hifadhi ya Taifa ya Teide
-
laguna
Jamhuri ya Afrika ya Kati
[hariri | hariri chanzo]- 1988 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Manovo-Gounda St Floris †.
-
Hifadhi ya Taifa ya Manovo-Gounda St Floris
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
[hariri | hariri chanzo]- 1996 - Asili - Hifadhi ya Wanyamapori ya Okapi †.
- 1980 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Kahuzi-Biega †.
- 1984 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Salonga †.
- 1979 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Virunga †.
- 1980 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Garamba †.
-
Okapi Wildlife Reserve
-
Gorilla
-
Mto Lulilaka
-
Nyiragongo
-
Hifadhi ya Taifa ya Garamba
Kenya
[hariri | hariri chanzo]- 1997 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kenya
- 2008 - Utamaduni - Misitu mitakatifu Wamijikenda Kaya
- 1997 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Turkana
- 2001 - Utamaduni - Lamu
- 2011 - Utamaduni - Fort Jesus
- 2011 - Asili - Kenya Lake System katika Bonde la Ufa
- 2018 - Utamaduni - Thimlich Ohinga
-
Mlima Kenya
-
Misitu mitakatifu Wamijikenda Kaya
-
Côte Lamu
-
Ngome ya Yesu
Lesotho*, Afrika Kusini*
[hariri | hariri chanzo]- 2000 - Mchanganyiko - Maloti-Drakensberg Park
-
Maloti-Drakensberg Park
Libya
[hariri | hariri chanzo]- 1985 - Utamaduni - Tadrart Acacus †
- 1986 - Utamaduni - Ghadamès †
- 1982 - Utamaduni - Kurene †
- 1982 - Utamaduni - Leptis Magna †
- 1982 - Utamaduni - Sabratha †
-
Tadrart Acacus
-
Ghadamès
-
Kurene
-
Leptis Magna
-
Sabratha
Madagaska
[hariri | hariri chanzo]- 2001 - Utamaduni - Ambohimanga
- 2007 - Asili - Mvua ya Atsinanana †
- 1990 - Asili - Tsingy de Bemaraha Nature Reserve
-
Ambohimanga
-
Mvua ya Atsinanana
-
Tsingy de Bemaraha Nature Reserve
Malawi
[hariri | hariri chanzo]- 1984 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Malawi
- 2006 - Utamaduni - Chongoni Rock Art Area
-
Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Malawi
-
Chongoni Rock Art Area
Mali
[hariri | hariri chanzo]- 1989 - Mchanganyiko - Cliff ya Bandiagara
- 1988 - Utamaduni - Djenné †
- 2004 - Utamaduni - Kaburi la Askia †
- 1988 - Utamaduni - Timbuktu †
-
Cliff ya Bandiagara
-
Djenné
-
Kaburi la Askia
-
Timbuktu
Mauritania
[hariri | hariri chanzo]- 1989 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Banc d'Arguin
- 1996 - Utamaduni - Oualata
-
Hifadhi ya Taifa ya Banc d'Arguin
-
Oualata
Misri [note 2]
[hariri | hariri chanzo]- 1979 - Utamaduni - Abu Mena †.
- 1979 - Utamaduni - Makaburi Wanubi
- 1979 - Utamaduni - Islamic Cairo.
- 2005 - Asili - Wadi Al-Hitan
- 1979 - Utamaduni - Piramidi za Giza
- 1979 - Utamaduni - Thebe ya Kale.
- 2002 - Utamaduni - Monasteri ya Mt. Katerina kwenye Sinai.
-
Abu Mena
-
Makaburi Wanubi
-
Islamic Cairo.
-
Mifupa ya Whale
-
Piramidi za Giza
-
Thebe ya Kale
-
Monasteri ya Mt. KaterinA
Morisi
[hariri | hariri chanzo]-
Aapravasi Ghat
-
Morne Brabant
Moroko
[hariri | hariri chanzo]- 1987 - Utamaduni - Aït-ben-Haddou
- 2004 - Utamaduni - El Jadida
- 2001 - Utamaduni - Essaouira
- 1981 - Utamaduni - Fès el-Bali
- 1985 - Utamaduni - Marrakech
- 1996 - Utamaduni - Meknès
- 1997 - Utamaduni - Archaeological Site ya Volubilis
- 2012 - Utamaduni - Mji wa kisasa na mji wa kihistoria: urithi pamoja
- 1997 - Utamaduni - Tétouan
-
Aït-ben-Haddou
-
El Jadida
-
Essaouira
-
Fès el-Bali
-
Marrakech
-
Meknès
-
Kituo cha akiolojia cha Volubilis
-
Ikulu ya mfalme
-
Tétouan
Msumbiji
[hariri | hariri chanzo]- 1991 - Utamaduni - Kisiwa cha Mozambique
-
Kisiwa cha Mozambique
Namibia
[hariri | hariri chanzo]- 2007 - Utamaduni - Twyfelfontein
- 2013 - Asili - Jangwa la Namib
-
Twyfelfontein
-
Jangwa la Namib
Niger
[hariri | hariri chanzo]- 1991 - Asili - Hewa na Tenere National Nature Reserve †
- 1996 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya W ya Niger
- 2013 - Utamaduni - Agadez
-
Hewa na Tenere National Nature Reserve
-
Hifadhi ya Taifa ya W ya Niger
-
Agadez
Nigeria
[hariri | hariri chanzo]-
Sukur Utamaduni Landscape
-
Osun-Oshogbo
Senegal
[hariri | hariri chanzo]- 1978 - Utamaduni - Kisiwa cha Goree
- 1981 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Niokolo-Koba †
- 2000 - Utamaduni - Saint-Louis
- 1981 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Bird Sanctuary
- 2011 - Utamaduni - Hifadhi ya Taifa ya Saloum Delta
- 2012 - Utamaduni - Kibasari nchi
-
Kisiwa cha Goree
-
Saint-Louis
-
Kisiwa Djoudj
-
Hifadhi ya Taifa ya Saloum Delta
-
Kijiji Bedik
Shelisheli
[hariri | hariri chanzo]-
Aldabra
-
Vallée de Mai
Sudan
[hariri | hariri chanzo]-
Gebel Barkal
-
Méroé
Tanzania
[hariri | hariri chanzo]- 1981 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Serengeti
- 1979 - Mchanganyiko - Ngorongoro
- 1987 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro
- 1981 - Utamaduni - Kilwa Kisiwani na Songo Mnara
- 2006 - Utamaduni - Michoro ya Kondoa
- 1982 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Nyerere †
- 2000 - Utamaduni - Stone Town
-
Vifaru weusi
Togo
[hariri | hariri chanzo]- 2004 - Utamaduni - Koutammakou
-
Nyumba
Tunisia
[hariri | hariri chanzo]- 1997 - Utamaduni - Dougga
- 1980 - Asili - Ichkeul
- 1979 - Utamaduni - Kiwanja cha michezo cha El Jem
- 1988 - Utamaduni - Kairouan
- 1985 - Utamaduni - Kerkouane
- 1988 - Utamaduni - Sousse
- 1979 - Utamaduni - Madina ya Tunis
- 1979 - Utamaduni - Karthago
-
Dougga
-
Lac Ichkeul
-
Kiwanja cha michezo cha El Jem
-
Kairouan
-
Kerkouane
-
Sousse
-
Madina ya Tunis
-
Magofu ya Karthago
Ufalme wa Muungano [note 3]
[hariri | hariri chanzo]- 1995 - Asili - Kisiwa Inaccessible
-
kisiwa Inaccessible
Ufaransa [note 4]
[hariri | hariri chanzo]- 2010 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Réunion
-
Réunion
Uganda
[hariri | hariri chanzo]- 1994 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Milima Rwenzori
- 1994 - Asili - Bwindi impenetrable Forest
- 2001 - Utamaduni - Makaburi ya Kasubi †
-
Milima Rwenzori
-
Bwindi
-
Makaburi ya Kasubi
Ureno [note 5]
[hariri | hariri chanzo]- 1999 - Asili - Laurisylve
-
Laurisylve
Zambia*, Zimbabwe*
[hariri | hariri chanzo]- 1989 - Asili - Maporomoko ya Victoria Falls
-
Victoria falls
Zimbabwe
[hariri | hariri chanzo]- 1986 - Utamaduni - Zimbabwe Kuu
- 1984 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Mana Pools
- 2003 - Utamaduni - Hifadhi ya Taifa ya Matobo
- 1986 - Utamaduni - Khami
-
Zimbabwe Kuu
-
Rivière
-
Hifadhi ya Taifa ya Matobo
-
Khami
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Maelezo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hispania: maeneo haya yako kaskazini mwa Afrika.
- ↑ Kwa Misri upande wa Afrika tu.
- ↑ Kwa Ufalme wa Muungano: Saint Helena.
- ↑ Kwa Ufaransa: Reunion.
- ↑ Kwa Ureno: Laurisylve.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |