Zimbabwe Kuu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mandhari ya Zimbabwe Kuu.

Zimbabwe Kuu (kwa Kiingereza: Great Zimbabwe ulikuwa mji wa Karne za Kati katika vilima vya kusini-mashariki mwa Zimbabwe karibu na Ziwa Mutirikwi na mji wa Masvingo. Inafikiriwa ulikuwa mji mkuu wa dola kubwa lisilojulikana sana.[1]

Majengo yake ya mawe ni ya kuanzia karne ya 9 hadi karne ya 15, mji ulipoachwa. Inasadikiwa kwamba wakazi bwake waliweza kufikia 18,000 na kuwa mababu wa Washona wa leo.[2]

Magofu yake yameorodheshwa na UNESCO kama Urithi wa Dunia.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Zimbabwe Kuu travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Zimbabwe Kuu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.