UNESCO
Mandhari
UNESCO ni kifupisho cha United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization yaani Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa.
Ni kitengo cha Umoja wa Mataifa ambacho kinashughulika habari za elimu, sayansi na utamaduni duniani.
Kisheria UNESCO ni shirika la kujitegemea lenye madola wanachama 191.
Kati ya shughuli muhimu za UNESCO mojawapo ni Orodha la Urithi wa Dunia linalojumlisha mahali penye umuhimu wa pekee kihistoria, kisayansi au kiutamaduni.
Nchi zote zina mahali angalau moja orodhani, nyingine zina pengi, hasa Italia na Hispania.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi kwa Kiingereza
- Tovuti rasmi ya Redio ya UM kwa Kiswahili Ilihifadhiwa 5 Februari 2018 kwenye Wayback Machine.
- Kenya sacred sites listed by Unesco Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2011 kwenye Wayback Machine. (online video 15 min)