Nenda kwa yaliyomo

Kaunti ya Migori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya ramani ikionesha eneo la Kaunti ya Migori, Kenya
Migori Mjini

Kaunti ya Migori ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,116,436 katika eneo la km2 2,613.5, msongamano ukiwa hivyo wa watu 427 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Migori.

Kaunti ya Migori ina maeneo bunge yafuatayo[2]:

Eneo bunge Kata
Awendo North East Sakwa, South Sakwa, West Sakwa, Central Sakwa
Kuria Magharibi Bukira East, Bukira Central/Ikerege, Isibania, Makerero, Masaba, Tagare, Nyamosense/Komosoko
Kuria Mashariki Gokeharaka/Getamwega, Ntimaru West, Ntimaru East, Nyabasi East, Nyabasi West
Nyatike Kachieng', Kanyasa, North Kadem, Macalder/Kanyarwanda, Kaler, Got Kachola, Muhuru
Rongo North Kamagambo, Central Kamagambo, East Kamagambo, South Kamagambo
Suna Magharibi Wiga, Wasweta II, Ragan-Oruba, Wasimbete
Suna Mashariki God Jope, Suna Central, Kakrao, Kwa
Uriri West Kanyamkago, North Kanyamkago, Central Kanyamkago, South Kanyamkago, East Kanyamkago

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3]

[hariri | hariri chanzo]
  • Awendo 117,290
  • Kuria East 96,872
  • Kuria West 208,513
  • Nyatike 176,162
  • Rongo 124,587
  • Suna East 122,674
  • Suna West 128,890
  • Uriri 141,448

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-05. Iliwekwa mnamo 2021-09-05.
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.