Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika
Makala hii inaorodhesha vituo 150 vilivyotajwa na UNESCO kuwa mahali pa Urithi wa Dunia katika Afrika (nchi 37 tu).
Mahali[hariri | hariri chanzo]
Legend mwaka - Aina ya mahali - jina la mahali
- mwaka: wakati ambao mahali paliwekwa katika Orodha ya Urithi wa Dunia
- aina ya mahali: inaonyesha sifa ya mahali kama ni uasilia , utamaduni au mchanganyiko
- jina la mahali: ni jina palilopewa mahali
Afrika Kusini[hariri | hariri chanzo]
- 1999 - Utamaduni - Kitovu cha mwanadamu.
- 1999 - Utamaduni - Robben Island.
- 1999 - Asili - ISimangaliso Wetland Park.
- 2003 - Utamaduni - SMapungubwe.
- 2004 - Asili - Cape maarufu kwa maua.
- 2005 - Asili - Vredefort Dome.
- 2007 - Utamaduni - Richtersveld.
- 2017 - Utamaduni - Mazingira ya Wakhomani.
- 2018 - Asili - Milima ya Barberton Makhonjwa.
Algeria[hariri | hariri chanzo]
- 1992 - Utamaduni - Kasbah ya Algiers.
- 1982 - Asili - Timgad.
- 1982 - Utamaduni - M'Zab.
- 1986 - Mchanganyiko - Tassili n'Ajjer.
- 1980 - Utamaduni - Beni Hammad Fort.
- 1982 - Utamaduni - Djémila.
- 1982 - Utamaduni - Tipasa.
Angola[hariri | hariri chanzo]
- 2017 - Utamaduni - Mbanza Kongo.
Benin[hariri | hariri chanzo]
- 1985 - Utamaduni - Makumbusho ya Historia ya Abomey.
Benin*, Burkina Faso*, Niger*[hariri | hariri chanzo]
- 2017 - Asili - Hifadhi za Taifa za (W, Arly na) Pendjari.
Botswana[hariri | hariri chanzo]
Burkina Faso[hariri | hariri chanzo]
Cameroon[hariri | hariri chanzo]
- 1987 - Asili - Hifadhi ya Wanyama ya Dja.
Cameroon*, Jamhuri ya Afrika ya Kati*, Jamhuri ya Kongo*[hariri | hariri chanzo]
- 2012 - Asili - Misitu ya Nchi Tatu ya Sangha.
Cape Verde[hariri | hariri chanzo]
- 2009 - Utamaduni - Cidade Velha.
Chad[hariri | hariri chanzo]
- 2012 - Asili - Maziwa Ounianga.
- 1986 - Mchanganyiko - Milima ya Ennedi.
Côte d'Ivoire[hariri | hariri chanzo]
- 1982 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Taï.
- 2012 - Utamaduni - Grand-Bassam.
- 1983 - Asili - Comoé National Park In danger †.
Côte d'Ivoire*, Guinea*[hariri | hariri chanzo]
- 1981 - Asili - Mount Nimba Strict Nature Reserve †.
Eritrea[hariri | hariri chanzo]
Ethiopia[hariri | hariri chanzo]
- 1980 - Utamaduni - Bonde la Awash.
- 1978 - Utamaduni - Makanisa yaliyochongwa mwambani, Lalibela.
- 1979 - Utamaduni - Fasil Ghebbi.
- 1978 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Semien †
- 2006 - Utamaduni - Harar Jugol.
- 1980 - Utamaduni - Bonde la Omo.
- 2011 - Utamaduni - Mazingira ya Utamaduni Konso.
- 1980 - Utamaduni - Tiya.
- 1980 - Utamaduni - Aksum.
Gabon[hariri | hariri chanzo]
- 2007 - Mchanganyiko - Lopé national Park
Gambia[hariri | hariri chanzo]
- 2003 - Utamaduni - Kisiwa Kunta Kinteh
Gambia*, Senegal*[hariri | hariri chanzo]
- 2006 - Utamaduni - Stone Circles Senegambia
Ghana[hariri | hariri chanzo]
- 1979 - Utamaduni - Forts and Castles, Volta, Greater Accra
- 1980 - Utamaduni - Majengo ya jadi ya Waashanti
Hispania [note 1][hariri | hariri chanzo]
- 1986 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Garajonay
- 2007 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Teide
- 1999 - Utamaduni - San Cristóbal de La Laguna
Jamhuri ya Afrika ya Kati[hariri | hariri chanzo]
- 1988 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Manovo-Gounda St Floris †.
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo[hariri | hariri chanzo]
- 1996 - Asili - Hifadhi ya Wanyamapori ya Okapi †.
- 1980 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Kahuzi-Biega †.
- 1984 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Salonga †.
- 1979 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Virunga †.
- 1980 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Garamba †.
Kenya[hariri | hariri chanzo]
- 1997 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kenya
- 2008 - Utamaduni - misitu takatifu Wamijikenda Kaya
- 1997 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Turkana
- 2001 - Utamaduni - Lamu
- 2011 - Utamaduni - Fort Jesus
- 2011 - Asili - Kenya Lake System katika Bonde la Ufa
- 2018 - Utamaduni - Thimlich Ohinga
Lesotho*, Afrika Kusini*[hariri | hariri chanzo]
- 2000 - Mchanganyiko - Maloti-Drakensberg Park
Libya[hariri | hariri chanzo]
- 1985 - Utamaduni - Tadrart Acacus †
- 1986 - Utamaduni - Ghadamès †
- 1982 - Utamaduni - Kurene †
- 1982 - Utamaduni - Leptis Magna †
- 1982 - Utamaduni - Sabratha †
Madagaska[hariri | hariri chanzo]
- 2001 - Utamaduni - Ambohimanga
- 2007 - Asili - mvua ya Atsinanana †
- 1990 - Asili - Tsingy de Bemaraha Nature Reserve
Malawi[hariri | hariri chanzo]
- 1984 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Malawi
- 2006 - Utamaduni - Chongoni Rock Art Area
Mali[hariri | hariri chanzo]
- 1989 - Mchanganyiko - Cliff ya Bandiagara
- 1988 - Utamaduni - Djenné †
- 2004 - Utamaduni - Kaburi la Askia †
- 1988 - Utamaduni - Timbuktu †
Mauritania[hariri | hariri chanzo]
Misri[hariri | hariri chanzo]
- 1979 - Utamaduni - Abu Mena †.
- 1979 - Utamaduni - Makaburi Wanubi
- 1979 - Utamaduni - Islamic Cairo.
- 2005 - Asili - Wadi Al-Hitan
- 1979 - Utamaduni - Piramidi za Giza
- 1979 - Utamaduni - Thebe ya Kale.
- 2002 - Utamaduni - Monasteri ya Mt. Katerina kwenye Sinai.
Morisi[hariri | hariri chanzo]
Moroko[hariri | hariri chanzo]
- 1987 - Utamaduni - Aït-ben-Haddou
- 2004 - Utamaduni - El Jadida
- 2001 - Utamaduni - Essaouira
- 1981 - Utamaduni - Fès el-Bali
- 1985 - Utamaduni - Marrakech
- 1996 - Utamaduni - Meknès
- 1997 - Utamaduni - Archaeological Site ya Volubilis
- 2012 - Utamaduni - mji wa kisasa na mji wa kihistoria: urithi pamoja
- 1997 - Utamaduni - Tétouan
Msumbiji[hariri | hariri chanzo]
- 1991 - Utamaduni - Kisiwa cha Mozambique
Namibia[hariri | hariri chanzo]
- 2007 - Utamaduni - Twyfelfontein
- 2013 - Asili - Jangwa la Namib
Niger[hariri | hariri chanzo]
- 1991 - Asili - Hewa na Tenere National Nature Reserve †
- 1996 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya W ya Niger
- 2013 - Utamaduni - Agadez
Nigeria[hariri | hariri chanzo]
Senegal[hariri | hariri chanzo]
- 1978 - Utamaduni - Kisiwa cha Goree
- 1981 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Niokolo-Koba †
- 2000 - Utamaduni - Saint-Louis
- 1981 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Bird Sanctuary
- 2011 - Utamaduni - Saloum Delta National Park
- 2012 - Utamaduni - Kibasari nchi
Shelisheli[hariri | hariri chanzo]
Sudan[hariri | hariri chanzo]
Tanzania[hariri | hariri chanzo]
- 1981 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Serengeti
- 1979 - Mchanganyiko - Ngorongoro
- 1987 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro
- 1981 - Utamaduni - Kilwa Kisiwani
- 2006 - Utamaduni - Michoro ya Kondoa
- 1982 - Asili - Selous Game Reserve †
- 2000 - Utamaduni - Stone Town
Togo[hariri | hariri chanzo]
- 2004 - Utamaduni - Koutammakou
Tunisia[hariri | hariri chanzo]
- 1997 - Utamaduni - Dougga
- 1980 - Asili - Ichkeul
- 1979 - Utamaduni - Amphitheatre ya El Jem
- 1988 - Utamaduni - Kairouan
- 1985 - Utamaduni - Kerkouane
- 1988 - Utamaduni - Sousse
- 1979 - Utamaduni - Madina wa Tunis
- 1979 - Utamaduni - Karthago
Ufalme wa Muungano[hariri | hariri chanzo]
- 1995 - Asili - Kisiwa Inaccessible
Ufaransa [note 2][hariri | hariri chanzo]
- 2010 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Réunion
Uganda[hariri | hariri chanzo]
- 1994 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Mountains Rwenzori
- 1994 - Asili - Bwindi impenetrable Forest
- 2001 - Utamaduni - Kasubi Tombs †
Ureno[hariri | hariri chanzo]
- 1999 - Asili - Laurisylve
Zambia*, Zimbabwe*[hariri | hariri chanzo]
- 1989 - Asili - Maporomoko ya Victoria Falls
Zimbabwe[hariri | hariri chanzo]
- 1986 - Utamaduni - Zimbabwe Kuu
- 1984 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Mana Pools
- 2003 - Utamaduni - Hifadhi ya Taifa ya Matobo
- 1986 - Utamaduni - Khami
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Maelezo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |