Abu Mena
Abu Mena, ulikuwa mji, makao ya watawa na kituo cha hija cha kikristo huko Late Antique, Misri, upo takribani kilomita 50 (31 mi) kusini magharibi mwa Alexandria, karibu na jiji la New Borg El Arab. Mabaki yake yaliteuliwa kuwa ni sehemu ya Urithi wa Dunia mnamo 1979 kwa umuhimu wa mahali ya katika Ukristo[1]. Kuna mabaki machache sana yaliyosimama, lakini misingi ya majengo mengi makubwa, kama vile basilica kuu, yanaweza kutambulika kwa urahisi.
Jitihada za hivi karibuni za kilimo katika eneo hilo zimesababisha kupanda kwa kiasi kikubwa kwa kiwango cha maji, ambapo imesababisha idadi ya majengo ya mahali hapo kuanguka au kutokuwa na utulivu. Sehemu hiyo iliongezwa kwenye Orodha ya Urithi wa Dunia ulio hatarini mnamo 2001. Mamlaka zililazimika kuweka mchanga katika misingi ya majengo ambayo yamo hatarini zaidi katika eneo hilo.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
majengo ya kiibada katika mji wa Abu mena
-
Vitu vya sanaa, Abu Mena
-
thumb
-
thumb
-
thumb
-
thumb
-
thumb
-
thumb
-
thumb
-
thumb
-
thumb
-
thumb
-
thumb
-
thumb
-
thumb
-
thumb
-
Nyumba ya watawa wa Abu Mena
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Abu Mena". UNESCO World Heritage Centre. United Nations Educational, Scientific, and Cultural Organization. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |