Kwango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mto wa Kwango (Cuango)
Beseni ya Kasai
Chanzo Nyanda za juu za Bié (Angola)
Mdomo Kasai
Nchi Angola na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Urefu 1,100 km
Kimo cha chanzo takriban 1,500 m
Mkondo  ?? m³/s
Eneo la beseni  ?? km²


Kwango ni mto katika Angola na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambayo ni pia tawimto mrefu wa mto Kasai. Chanzo chake iko nyanda za juu za Bié katika Angola ikielekea kaskazini. Inakuwa mpaka kati ya Angola na Kongo halafu kuingia ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Inaishia kwenye mto wa Kasai karibu na mji wa Bandudu.

Flag-map of the Democratic Republic of the Congo.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kwango kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.