Mto Komoé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Komoé ni mto wa Afrika Magharibi ambao unaanzia Burkina Faso, unaingia katika Ivory Coast na kuishia katika Bahari ya Atlantiki.

Urefu wake ni km. 759 hivi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Komoé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.