Mto Bani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Teriya Bugu, Mali

Mto Bani ni tawimto la mto Niger ukiwa tawimto kubwa zaidi nchini Mali.

Chanzo chake kiko nchini Cote d'Ivoire.

Urefu wake ni km 1100 hivi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Bani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.