Kongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kongo ni jina la kutaja vitu mbalimbali:

  • Mto wa Kongo ambao ni kati ya mito mikubwa zaidi ya Afrika na ya dunia; pia eneo la beseni yake
  • Nchi mbili katika Afrika ya kati:
Jamhuri ya Kongo (mji mkuu Brazzaville, kabla ya uhuru "Kongo ya Kifaransa")
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (mji mkuu Kinshasa, kabla ya uhuru "Kongo ya Kibelgiji")
  • Ufalme wa Kongo uliokuwa dola kubwa katika Angola ya Kaskazini na Kongo ya Magharibi wakati wa karne 14-17 BK.
  • Kongo > Bakongo, jina la kabila ya Kibantu yenye watu milioni 5 katika Kongo, Angola na Gabun.
  • Kongo > Kikongo, lugha ya Bakongo
  • "Kongo" imekuwa jina la meli za kijeshi huko Japani kutokana na mlima huu.


Disambig.svg
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.