Bafing

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa mto Bafing kutoka Bozo Pirogue.

Mto wa Bafing ("mto mweusi") ni mkondo wa juu wa mto mkubwa zaidi, Mto Senegal ambao unapitia Guinea na Mali na una urefu wa maili 350.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bafing kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.