Wadi Draa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Draa (Wadi Draa)
Bonde la Draa
Chanzo Maungano ya tawimito ya Dades na Imini katika milima ya Atlas
Nchi Moroko, Aljeria
Urefu 1,100 km
Kimo cha chanzo  ?
Mkondo  ?
Eneo la beseni 29,500


Draa ("Wadi Draa", pia "Oued Dra") ni mto mrefu wa Moroko. Inaanza katikati ya nchi kwenye milima ya Atlasi inapoungana tawimito ya Dadès and Imini. Mwanzoni inaelekea kusini mashariki hadi Tagunit halafu kusini-magharibi ikifuata mpaka wa Algeria na Moroko hadi mdomo wake kwenye Atlantiki.

Ni mara kwa mara tu ya kwamba maji yake yanafika baharini, wakati mwingi inakauka njiani. Miji muhimu mtoni ni Warzazate (Ouarzazate) na Zagora.