Aruwimi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Aruwimi (pia: Ituri) ni tawimto wa Kongo mwenye urefu wa 1.287 km.

Chanzo chake ni kwenye Mkoa wa Orientale / Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika Milima ya buluu si mbali na mji wa Bunia na Ziwa Albert. Mwanzoni inaelekea kusini halafu inapinda kwenda magharibi hadi kufikia mto Kongo karibu na mji wa Basoko.

Flag-map of the Democratic Republic of the Congo.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aruwimi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.