Nenda kwa yaliyomo

Bunia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa angani wa Mji wa Bunia, Upande wa kaskazini ni kuelekea wilaya ya NyakasanzaBunia
Bunia is located in Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bunia
Bunia

Mahali pa mji wa Bunia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Majiranukta: 1°34′0″N 30°15′0″E / 1.56667°N 30.25000°E / 1.56667; 30.25000
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mkoa Ituri
Wilaya Bunia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 327,837

Bunia ni mji mkuu wa mkoa wa Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 327,837.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bunia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.