Mto Uele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Uele (pia Welle) ni tawimto la mto Ubangi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Urefu wake ni km 1,210 hivi, hivyo ni mrefu kuliko mito mingine inayochangia mto Ubangi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Uele kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.