Mto Baoulé
Mandhari
Mto Baoulé ni tawimto la mto Bani ambao tena unaingia katika mto Niger ukiwa tawimto kubwa zaidi nchini Mali.
Chanzo chake kiko nchini Cote d'Ivoire.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Baoulé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |