Mikoa ya Burundi
(Elekezwa kutoka Orodha ya mikoa ya Burundi)
Mikoa ya Burundi ni ngazi ya kwanza katika maeneo ya kiutawala ya nchi hii. Burundi imegawiwa kwa mikoa au "IProvense" 18. Kila mkoa umegawiwa kwa tarafa (commune) zenye vitengo vinavyoitwa "colline" yaani vilima.
Hii ni orodha ya Mikoa (kwa Kirundi: IProvense) 18 ya Burundi:
|
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Burundi: administrative units, extended. GeoHive. Jalada kutoka ya awali juu ya 14 July 2015. Iliwekwa mnamo 13 July 2015.
- ↑ Law, Gwillim. Provinces of Burundi. Iliwekwa mnamo 13 July 2015.
Mikoa ya Burundi | ![]() |
---|---|
Bubanza • Bujumbura Mjini • Bujumbura Vijijini • Bururi • Cankuzo • Cibitoke • Gitega • Karuzi • Kayanza • Kirundo • Makamba • Muramvya • Muyinga • Mwaro • Ngozi • Rumonge • Rutana • Ruyigi | |
+/- |