Mkoa wa Cibitoke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Mkoa wa Cibitoke katika Burundi

Mkoa wa Cibitoke ni moja kati ya mikoa ya Burundi. Jumla ya wakazi ilikuwa 491,000 mwaka 2007. Eneo lake ni la 1,636 km².

Mji mkuu ni Cibitoke.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]


Mikoa ya Burundi Bendera ya Burundi
BubanzaBujumbura MjiniBujumbura VijijiniBururiCankuzoCibitokeGitegaKaruziKayanzaKirundoMakambaMuramvyaMuyingaMwaroNgoziRumongeRutanaRuyigi
+/-
Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Cibitoke kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.