Bujumbura Vijijini
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Bujumbura Rural)
Jump to navigation
Jump to search
Bujumbura Rural Province | |
Nchi | ![]() |
---|---|
Eneo | |
- Wilaya | 1,319.12 km² |
Bujumbura Vijijini (kwa Kifaransa: Bujumbura Rural) ni kati ya wilaya 18 za Burundi.
Eneo lake linazunguka wilaya ya mji mkuu wa nchi. Wakazi wamezidi 550,000.
Historia[hariri | hariri chanzo]
Iliundwa kwa kugawa Mkoa wa Bujumbura kati ya Bujumbura Mjini na Bujumbura Vijijini.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bujumbura Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Majiranukta kwenye ramani: 3°22′44″S 29°21′39″E / 3.37889°S 29.36083°E
Mikoa ya Burundi | ![]() |
---|---|
Bubanza • Bujumbura Mjini • Bujumbura Vijijini • Bururi • Cankuzo • Cibitoke • Gitega • Karuzi • Kayanza • Kirundo • Makamba • Muramvya • Muyinga • Mwaro • Ngozi • Rumonge • Rutana • Ruyigi | |
+/- |
|