Mikoa ya Burundi ni ngazi ya kwanza katika maeneo ya kiutawala ya nchi hii. Burundi imegawiwa kwa mikoa au "IProvense" 18. Kila mkoa umegawiwa kwa tarafa (commune ) zenye vitengo vinavyoitwa "colline" yaani vilima.
Hii ni orodha ya Mikoa (kwa Kirundi : IProvense ) 18 ya Burundi :
Mkoa
Makao makuu
Eneo (km2 ) [1]
Wakazi (sensa ya mwaka 2008)[2]
Communes
Burundi Mashariki
Cankuzo
Cankuzo
1,964.54
228,873
5
Gitega
Gitega
1,978.96
725,223
11
Rutana
Rutana
1,959.45
333,510
6
Ruyigi
Ruyigi
2,338.88
400,530
7
Burundi Kaskazini
Karuzi
Karuzi
1,457.40
436,443
7
Kayanza
Kayanza
1,233.24
585,412
9
Kirundo
Kirundo
1,703.34
628,256
7
Muyinga
Muyinga
1,836.26
632,409
7
Ngozi
Ngozi
1,473.86
660,717
9
Burundi Kusini
Bururi
Bururi
1,644.68
313,102
6
Makamba
Makamba
1,959.60
430,899
6
Rumonge
Rumonge
1,079.72
352,026
5
Burundi Magharibi
Bubanza
Bubanza
1,089.04
338,023
5
Bujumbura Mjini
Bujumbura
86.52
497,166
13
Bujumbura Vijijini
Isale, Burundi
1,059.84
464,818
9
Cibitoke
Cibitoke
1,635.53
460,435
6
Muramvya
Muramvya
695.52
292,589
5
Mwaro
Mwaro
839.60
273,143
6