Nenda kwa yaliyomo

Ugatuzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bunge la funguvisiwa la Aland katika nchi ya Ufini.

Ugatuzi (kwa Kiingereza: devolution) ni mfumo wa utawala unaogawa madaraka ya uamuzi kutoka katika ngazi ya juu ya serikali na kuyapeleka katika ngazi ya chini (serikali za mitaa)[1][2].

Namna ugatuzi unavyofanyika inategemea sheria za nchi husika.

  1. "What is devolution?". BBC Academy (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-02-22.
  2. "Devolution: A beginner's guide", 2010-04-29. (en-GB)