Bujumbura Vijijini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Bujumbura Vijijini)
Jump to navigation Jump to search
Bujumbura Rural Province
Burundi - Bujumbura Rural.svg
Nchi Bendera ya Burundi Burundi
Eneo
 - Wilaya 1,319.12 km²

Bujumbura Vijijini (kwa Kifaransa: Bujumbura Rural) ni kati ya wilaya 18 za Burundi.

Eneo lake linazunguka wilaya ya mji mkuu wa nchi. Wakazi wamezidi 550,000.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Iliundwa kwa kugawa Mkoa wa Bujumbura kati ya Bujumbura Mjini na Bujumbura Vijijini.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Burundi.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bujumbura Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Majiranukta kwenye ramani: 3°22′44″S 29°21′39″E / 3.37889°S 29.36083°E / -3.37889; 29.36083Mikoa ya Burundi Bendera ya Burundi
BubanzaBujumbura MjiniBujumbura VijijiniBururiCankuzoCibitokeGitegaKaruziKayanzaKirundoMakambaMuramvyaMuyingaMwaroNgoziRumongeRutanaRuyigi
+/-