Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya miji ya Burundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bujumbura
Gitega

Hii ni orodha ya miji ya nchi ya Burundi.

Cheo Mji Wakazi
1. Bujumbura 1,124,166
2. Gitega 125,944
3. Muyinga 95,609
4. Ngozi 86,844
5. Ruyigi 77,139
6. Kayanza 70,767
7. Bururi 57,478
8. Muramvya 51,458
9. Makamba 45,396
10. Rumonge 35,931