Mikoa ya Burundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya za Burundi)

Mikoa ya Burundi ni ngazi ya kwanza katika maeneo ya kiutawala ya nchi hii. Burundi imegawiwa kwa mikoa au "IProvense" 18. Kila mkoa umegawiwa kwa tarafa (commune) zenye vitengo vinavyoitwa "colline" yaani vilima.

Hii ni orodha ya Mikoa (kwa Kirundi: IProvense) 18 ya Burundi:

Mkoa Makao makuu Eneo
(km2) [1]
Wakazi
(sensa ya mwaka 2008)[2]
Communes
Burundi Mashariki
Cankuzo Cankuzo 1,964.54 228,873 5
Gitega Gitega 1,978.96 725,223 11
Rutana Rutana 1,959.45 333,510 6
Ruyigi Ruyigi 2,338.88 400,530 7
Burundi Kaskazini
Karuzi Karuzi 1,457.40 436,443 7
Kayanza Kayanza 1,233.24 585,412 9
Kirundo Kirundo 1,703.34 628,256 7
Muyinga Muyinga 1,836.26 632,409 7
Ngozi Ngozi 1,473.86 660,717 9
Burundi Kusini
Bururi Bururi 1,644.68 313,102 6
Makamba Makamba 1,959.60 430,899 6
Rumonge Rumonge 1,079.72 352,026 5
Burundi Magharibi
Bubanza Bubanza 1,089.04 338,023 5
Bujumbura Mjini Bujumbura 86.52 497,166 13
Bujumbura Vijijini Isale, Burundi 1,059.84 464,818 9
Cibitoke Cibitoke 1,635.53 460,435 6
Muramvya Muramvya 695.52 292,589 5
Mwaro Mwaro 839.60 273,143 6


Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Burundi: administrative units, extended". GeoHive. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 July 2015. Iliwekwa mnamo 13 July 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Law, Gwillim. "Provinces of Burundi". Statoids. Iliwekwa mnamo 13 July 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)


Mikoa ya Burundi Bendera ya Burundi
BubanzaBujumbura MjiniBujumbura VijijiniBururiCankuzoCibitokeGitegaKaruziKayanzaKirundoMakambaMuramvyaMuyingaMwaroNgoziRumongeRutanaRuyigi
+/-