Nenda kwa yaliyomo

Mikoa ya Angola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya mikoa ya Angola. Mikoa (provincias) ni 18, ambayo inagawanyika kwanza katika wilaya (municipios) 162 halafu katika kata (comunas) 559.

# Mkoa Mji mkuu Eneo (km²) Idadi ya watu (1992) Ramani
1BengoCaxito31.371196.100 Mikoa ya Angola
2BenguelaBenguela31.788656.600
3BiéKuito70.3141.119.800
4KabindaKabinda7270152.100
5Cuando CubangoMenongue199.049139.600
6Cuanza KaskaziniN'dalatando24.190385.200
7Cuanza KusiniSumbe55.660694.500
8CuneneOndjiva89.342241.200
9HuamboHuambo34.2741.521.000
10HuílaLubango75.002885.100
11LuandaLuanda24181.588.600
12Lunda KaskaziniLucapa102.783305.900
13Lunda KusiniSaurimo45.649169.100
14MalanjeMalanje97.60237.684
15MoxicoLuena223.023319.300
16NamibeNamibe58.137107.300
17UígeUíge58.698802.700
18ZaireM'banza-Kongo40.130237.500

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mikoa ya Angola kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.