Lubango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lubango ni mji uliopo kusini mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Huíla. Ndio makao makuu ya mkoa huo.

Mwaka 2009 idadi ya wakazi ilikuwa 250,921[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lubango kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.