Huíla

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Huíla
Mahali paHuíla
Mahali paHuíla
Mahali pa Mkoa wa Huíla katika Angola
Nchi Angola
Mji mkuu Lubango
Eneo
 - Jumla 75,002 km²
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 885.100
Mlima Serra da Leba ulioko ndani ya mkoa wa Huíla.

Mkoa wa Huíla ni kati ya mikoa kumi na nane ya Angola. Uko upande wa kusini.

Una wakazi 885,100 kwenye eneo la km² 75.002. Makao makuu ya mkoa yapo Lubango.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Huíla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.