Nenda kwa yaliyomo

Cuanza Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Cuanza Kusini
Cuanza Sul
Mahali paCuanza Kusini Cuanza Sul
Mahali paCuanza Kusini
Cuanza Sul
Mahali pa Mkoa wa Cuanza Kusini katika Angola
Nchi Angola
Mji mkuu Sumbe

Cuanza Kusini (kwa Kireno: Cuanza Sul) ni kati ya mikoa kumi na nane ya Angola.

Una wakazi 1.881.873 (2014) kwenye eneo la km² 55,660. Makao makuu ya mkoa yapo Sumbe.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cuanza Kusini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.