Uíge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uíge ni mji uliopo kaskazini mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Uige. Ndio makao makuu ya mkoa.

Mwaka 2009 idadi ya wakazi ilikuwa 116,751[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uíge kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.