Uíge (mkoa)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Uige)


Uíge
Mahali paUíge
Mahali paUíge
Mahali pa Mkoa wa Uíge katika Angola
Nchi Angola
Mji mkuu Uíge
Eneo
 - Jumla 58,698 km²
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 802.700
Mkoa Uíge, Angola

Mkoa wa Uíge ni kati ya mikoa kumi na nane ya Angola.

Una wakazi 802.700 kwenye eneo la km² 58.698. Makao makuu ya mkoa yapo Uíge.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uíge (mkoa) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.