Caxito

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Caxito ni mji uliopo kaskazini magharibi mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Bengo. Ndio makao makuu ya mkoa huo

Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 55,000[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Caxito kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.