Nenda kwa yaliyomo

Saurimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Saurimo ni mji uliopo mashariki mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Lunda Kusini. Ndio makao makuu ya mkoa.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikuwa 78,417 [1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saurimo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.