Wilaya za Uganda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uganda
Coat of arms of Uganda.svg

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
UgandaNchi zingine · Atlasi

Uganda imegawanywa katika wilaya 121 na mji mkuu wa Kampala [1] zilizosambaa katika mikoa minne.

Wilaya nyingi zimepewa majina kulingana na miji mikubwa ya biashara na utawala.

Kila wilaya hugawanywa zaidi katika wilaya ndogo, kaunti, kaunti ndogo n.k.

Kiongozi mchaguliwa wa kila wilaya ni Mwenyekiti wa Baraza la Mitaa.

Chini ni takwimu ya idadi ya watu kadiri ya sensa ya mwaka 2002. Habari za kaunti zilitumiwa kupata takwimu za wilaya zilizoumbwa ama kubadilishwa tangu 1 Julai 2005.

Solid yellow.svg Mkoa wa Kaskazini[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Kaskazini
Ramani Wilaya Mji Mkuu Idadi ya Watu
1 Abim Abim 51.903
2 Adjumani Adjumani 202.290
3 Amolatar Amolatar 96.189
39 Amuru Amuru 176.733
5 Apac Apac 415.578
6. Arua Arua 402.671
16 Dokolo Dokolo 129.385
17 Gulu Gulu 298.527
22 Kaabong Kaabong 202.757
42 Kitgum Kitgum 282.375
43 Koboko Koboko 129.148
44 Kotido Kotido 122.442
47 Lira Lira 515.666
50 Maracha-Terego Ovujo 302.109
57 Moroto Moroto 189.940
58 Moyo Moyo 194.778
62 Nakapiripirit Nakapiripirit 154.494
65 Nebbi Nebbi 435.360
67 Oyam Oyam 268.415
68 Pader Pader 326.338
77 Yumbe Yumbe 251.784

Red.svg Mkoa wa Kati[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Kati Ramani
Ramani Wilaya Mji Mkuu Idadi ya Watu
Bonyeza Ramani kuifanya iwe kubwa
27 Kalangala Kalangala 34.766
29 Kampala Kampala 1.189.142
36 Kayunga Kayunga 294.613
38 Kiboga Kiboga 229.472
48 Luweero Luwero 341.317
(70) Lyantonde Lyantonde 66.039
51 Masaka Masaka 770.662
56 Mityana Mityana 266.108
59 Mpigi Mpigi 407.790
60 Mubende Mubende 423.422
(60) Mukono Mukono 795.393
63 Nakaseke Nakaseke 137.278
64 Nakasongola Nakasongola 127.064
(70) Rakai Rakai 404.326
72 Sembabule Sembabule 180.045
76 Wakiso Wakiso 907.988


Solid blue.svg Mkoa wa Magharibi[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Magharibi
Ramani Wilaya Mji Mkuu Idadi ya Watu
10 Bulisa Bulisa 63.363
11 Bundibugyo Bundibugyo 209.978
12 Bushenyi Bushenyi 731.392
18 Hoima Hoima 343.618
19 Ibanda Ibanda 198.635
26 Isingiro Isingiro 316.025
23 Kabale Kabale 458.318
24 Kabarole Kabarole 356.914
31 Kamwenge Kamwenge 263.730
32 Kanungu Kanungu 204.732
34 Kasese Kasese 523.033
37 Kibale Kibale 405.882
40 Kiruhura Kiruhura 212.219
41 Kisoro Kisoro 220.312
46 Kyenjojo Kyenjojo 377.171
52 Masindi Masindi 396.127
55 Mbarara Mbarara 361.477
66 Ntungamo Ntungamo 379.987
[64] Rukungiri Rukungiri 275.162

Solid green.svg Mkoa wa Mashariki[hariri | hariri chanzo]

Mkoa wa Mashariki Ramani
Ramani Wilaya Mji Mkuu Idadi ya Watu
Bonyeza Ramani kuifanya iwe kubwa
4 Amuria Amuria 180.022
7 Budaka Budaka 136.489
(49) Bududa Bududa 123.103
8 Bugiri Bugiri 412.395
(45) Bukedea Bukedea 122.433
9 Bukwa Bukwa 48.952
13 Busia Busia 225.008
15 Butaleja Butaleja 157.489
20 Iganga Iganga 540.999
21 Jinja Jinja 387.573
25 Kaberamaido Kaberamaido 131.650
28 Kaliro Kaliro 154.667
30 Kamuli Kamuli 552.665
33 Kapchorwa Kapchorwa 141.439
35 Katakwi Katakwi 118.928
(45) Kumi Kumi 267.232
(49) Manafwa Manafwa 262.566
53 Mayuge Mayuge 324.674
54 Mbale Mbale 332.571
14 Namutumba Namutumba 167.691
69 Pallisa Pallisa 384.089
73 Sironko Sironko 283.092
74 Soroti Soroti 369.789
75 Tororo Tororo 379.399


Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]