Nenda kwa yaliyomo

Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo



Nchi zingine · Atlasi

Hii ni orodha ya Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo:

Mikoa mipya

[hariri | hariri chanzo]

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ina mikoa ishirini na sita kadiri ya Katiba mpya ya mwaka 2005.

Mikoa 25 na mji mkuu Kinshasa.


MkoaMji Mkuu
1.KinshasaKinshasa
2.Kongo Kati  Matadi
3.KwangoKenge
4.KwiluKikwit
5.Mai-NdombeInongo
6.KasaïLuebo
7.LuluaKananga
8.Kasaï MasharikiMbuji-Mayi
9.LomamiKabinda
10.SankuruLodja
11.ManiemaKindu
12.Kivu KusiniBukavu
13.Kivu KaskaziniGoma
MkoaMji Mkuu
14.IturiBunia
15.Uele JuuIsiro
16.TshopoKisangani
17.Uele ChiniButa
18.Ubangi KaskaziniGbadolite
19.MongalaLisala
20.Ubangi KusiniGemena
21.ÉquateurMbandaka
22.TshuapaBoende
23.TanganyikaKalemie
24.Lomami JuuKamina
25.LualabaKolwezi
26.Katanga Juu   Lubumbashi

Mikoa kabla ya 2008

[hariri | hariri chanzo]
  1. Bandundu
  2. Bas-Congo
  3. Équateur
  4. Kasaï Magharibi
  5. Kasaï Mashariki
  6. Katanga
  7. Kinshasa
  8. Maniema
  9. Kivu Kaskazini
  10. Orientale
  11. Kivu Kusini


Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]


 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bandera Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Kati | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Uele Juu
+/-