Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Kongo Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Kongo Kati
Mahali paMkoa wa Kongo Kati
Mahali paMkoa wa Kongo Kati
Mahali pa Mkoa wa Kongo Kati katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mikoa
Mji mkuu Matadi
Eneo
 - Jumla 53,920 km²
Idadi ya wakazi (2020)
 - Wakazi kwa ujumla 6,838,500

Mkoa wa Kongo Kati ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 6,838,500.

Mji mkuu ni Matadi.

Mbali ya Matadi, mji mwingine rasmi ni Boma, halafu katika eneo kuna wilaya (kwa Kifaransa: territoires) 10, idadi kubwa kuliko ile ya mikoa mingine yote[1]:

  1. Institut National de la Statistique–RD Congo (Machi 2017). Annuaire statistique 2015 [2015 Statistical Yearbook] (PDF) (kwa Kifaransa). ku. 8-9 Tableau 1.3. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 13 Oktoba 2022. Iliwekwa mnamo 2 Jan 2023.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bandera Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Kati | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Uele Juu
+/-
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kongo Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.