Boende

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Boende,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Boende,Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Boende ni mji ulio makao makuu ya mkoa wa Tshuapa, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).

Makadirio ya idadi ya watu ni 36,158 (2009 [1]).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Congo (Dem. Rep.): largest cities and towns and statistics of their population". World Gazetteer. Archived from the original on 22 May 2011. Retrieved 21 January 2009.
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Boende kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.