Mkoa wa Tshuapa
Mandhari
Mkoa wa Tshuapa |
|
Mahali pa Mkoa wa Tshuapa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Majiranukta: 0°44′S 19°12′E / 0.733°S 19.200°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 6 |
Mji mkuu | Boende |
Eneo | |
- Jumla | 132,957 km² |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,316,955 |
Mkoa wa Tshuapa ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,316,955. Mji mkuu ni Boende.
Mahali
[hariri | hariri chanzo]Mkoa umepewa jina la Mto Tshuapa. Iko kaskazini-magharibi mwa nchi, kwenye Mto Kongo.
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Tshuapa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu | |
+/- |